Mkugenzi wa wise and mercy compani Clemence Busara Akiwa ofisini kwake |
Shirika
la kazi duniani ILO na chama cha wafanyazi Tanzania TUCTA kwa kushirikiana na wise and mercy
company ameandaa Semina kubwa ya mafunzo
ya kuelimisha juu ya kujua msingi ya na
sheria za kazi kwa mwajiri na majiriwa
Akizungumza
na mtandao huu wa green media ofisini kwake Mkurungenzi wa wise and mercy company ambao ni
ndiyo waratibu wa mafunzo haya Mh Clemence Busara amesema kuwa lengo kubwa la
semina hii ni kumjengea uwezo mfanyakazi
kueleawa misingi ya kazi kwa mwajiri na
mwajiriwa ,kutambua wajibu wa mwajiri na mwajiriwa katika majukumu ya kila siku,
kuwongeza ujuzi zaidi mfanyakazi kufanya kazi kwa Ufanisi na Ubunifu wa hali ya
juu.na jinsi mwajiri anavyo weza kuboresha mazingira kwa wafanya kazi wake.
Mkugenzi wa wise and mercy compani Clemence Busara Akiongea na mwandishi wa Habari wa Green Media Group {Abdul Marwa Abdallah} |
Mh busara
ameongaza kuwa ILO na TUCTCA wameona kuna umuhimu mkubwa wa kuandaa mafunzo
haya kwa kuwa wanyakazi wengi hawatambui sheria za kazi zinazo walinda wakiwa
kwenye ajirazao, wajiri kukiuka miko na
sheria za kazi kwa wajiriwa, busara amesema kupitia mafunzo haya yanaweza kuondoa hali ilipo hivi sasa
Mkugenzi huyu amesema mafunzo haya yamewalenga
Wajasiriamali Wadogo na wakubwa, wafakazi wa
umma nawa mashrika binafsi ,wakurungenzi wa kampuni na tasisi mbalimbali, hivyo
ametoa wito kwa watu wote kuhudhuria kwa
kwa wingi kwa kuwa mafunzo hayo kwa kuwa semina hiyo ni bure
Mafunzo
hayo yatafanyika nyanda ya juu kusini mkoa wa mbeya Siku ya
Ijumaa 5/12/2014 katika ukumbi wa JM
MOTEL, karibu na shule ya st merry kuanzia 10:00 kamili asubuhi na kingilio cha mafunzo haya ni bure kwa mtu
yeyote Yule ,semina ya mafunzo hayo itahudhuliwa na wa wawakilishi wa sirika la
kazi duiani (ILO) ,chama cha wafanya kazi Tanzania TUCTA , wawakilishi wa
wizara ya kazi mkoa wa mbeya na wadau mbalimbali hapa nchini Tanzania.
clemence busara akiwa ofisini kwake |
Ikumbuke kwa semina hii ya
mafunzo inaratibiwa na kusimamiwa na wise and mercy company kwa kuwezeshwa na ILO
na TUCTA kushirikiana wizara ya kazi
mkoa.