MASWALI HAPA

VODACOM

VODACOM

TANGAZO

TANGAZO

SLIDE

TANGAZO

Search This Blog

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
Powered By Blogger
...
...

,

,

Sunday, November 23, 2014

MSAADA!SIJUI JINSI YA KUMBEMBELEZA MPENZI WANGU, NISAIDIENI


Habari ya kazi Voiet. Mimi ni kijana wa kiume, i have 18yrs, hadi sasa naishi Zanzibar katika wilaya ya Mjini. Nilikua nikitembelea kwa siku nyingi katika blogi zako zinazohusiana na suala zima la MAPENZI, katika utafiti wangu juu ya suala hilo, nimefaidika na mambo mengi sana yanayohusu MAPENZI, kwa mfano, jinsi ya kumpata mwanamke akupendae, pia vipi utaweza kuishi kuishi nae, na vipi munaweza kuboresha na kudumisha mapenzi yenu na mengineyo. Nashkuru sana nimefaidika kwa kiasi kikubwa sana kupitia BLOG zakoAnt Voilet.
              Ila lakini, pamoja na yote hayo, niliyoyapata kupitia BLOG zako bado mimi nina tatizo moja tu ambalo linanikwaza katika MAPENZI yote kwa ujumla, kwa kutumia TAALUMA ambayo nimeipata kupitia BLOG zako, nahisi nikitu MUHIMU sana katika MAPENZI pia inaweza ikapelekea kuachana na MPENZI wangu na ni kitu ambacho mimi sijakipanga maishani mwangu kumsaliti yeye kwani NAMPENDA.
              Tatizo langu Ant Voilet ni kwamba mimi hadi sasa bado sijajua jinsi gani ya KUMBEMBELEZA MPENZI wangu, kwani yeye kila siku ananmbia NIMBEMBELEZE wakati wa usku asa na mimi sijui kwa sababu mimi nilitaka kuyajua MAPENZI kabla ya kumpata MPENZI,aidha naliyasoma kwanza yakoje halafu ndo nikaingia,bali yeye anambia nimwambie MANENO MAZURI YA MAPENZI YENYE KUMLIWAZA WAKATI WA USIKU ANAPOTAKA KULALA, husema yeye hapati usingizi na mimi pia nimeshachoka kumdanganya, kwaiyo nakuomba Ant Voilet kwa ROHO YA UNYONGE na nainamisha kichwa changu chini na napinda magoti yangu chini na nainua mikono yangu juu kupokea MSAADA wako kwani nakuomba unisadie juu ya hilo kwani NAMPENDA ZAIDI YA ANAVYOFIKRIA na sitaki nimpoteze. Pia nimeshamuahidi Mungu ikiwa hatochukua roho ztu nitakuja kufunga nae NDOA.
TOA AONI YAKO KWA KUCOMMENT HAPO CHIZI

No comments:

ASANTE KWA KUTUTEMBELEA

ASANTE KWA KUTUTEMBELEA